Uchawi,Pesa na Mapenzi Vinavyomtesa Diamond Platnumz


Moja kati ya vitu ambavyo huwezi Kuvi control pale unaokuwa maarufu ni maneno ya watu,wazungu wana msemo wao kuwa 'quando você está no topo, você se torna um tópico' yani unapokuwa juu maisha yako yanakuwa ni mada kwenye vinywa vya watu kwa hiyo chochote unachofanya watu wanakitazma na kukiongelea.Watu wataongea história nzuri na mbaya kuhusu wewe bila kujali unajisikiaje na kwa watu maarufu huwa tunaziita Skendo.

Saasa leo nimekuandalia makala maalum kuhusu SKENDO 10 zinazomkabili Msanii Diamond Platnumz.

Naseeb Abdul Juma Isaac Au Diamond Platnumz ni moja ya wasanii wakubwa Barani Afrika na kwa Tanzânia tunaamini kuwa ndiye msanii namba moja kwa sasa.Kwa kusema hayo inamaanisha kuwa yeye ndiye msanii anyefuatiliwa zaiddi kuliko msanii yeyot yule na pengine kwendiye msaniwai vyawenye sashian habari.

Zifuatazo ni baadhi ya skendo ambazo staa huyo amekutana nazo (Endelea kufuatilia kupitia Video hapo chini)

Kelson Strong

CEO e fundador dos sites @CacuacoNews e Anime ao Minuto. Formado em Informática na Universidade Agostinho Neto, 25 anos de Idade.

Enviar um comentário

Postagem Anterior Próxima Postagem